Mmezoea NBC bebwabebwaMbona kama game la maelekezo hili GSM hajatia mkono kweli mbn wachezaji wetu km wanaonewa na refa kachuna tu
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kabisa kipindi cha pili hatuchethi [emoji3526][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji1787]
GSM anaharibu mpira wa Afrika 😃Mbona kama game la maelekezo hili GSM hajatia mkono kweli mbn wachezaji wetu km wanaonewa na refa kachuna tu
Wakija kuchangia uzi njoo uniite 🐕 nimekaa hapaUzi umedoda. Wenyeji Rudini bana. Uzalendo phweeew
Mkuu wewe ni NabiiHawa jamaa wanapiga msako balaa, wanataka kumalizia fainali hapa hapa
naona goli la 3 linakuja
Nakazia uzalendo kwanza matokeo baadae 😂Uzi umedoda. Wenyeji Rudini bana. Uzalendo phweeew
Mkuu timu mbovu ni mbovu tuRecord imeandikwa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Simba ndo timu ya kwanza kufungwa goli nyingi first half kwenye final..... Africa
Yajayo yanatisha [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
KWISHA HABARI YAO [emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]Mkuu timu mbovu ni mbovu tu