FT: RS Berkane 2-0 Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025

Che Fondo Malone Maguire asee huyu Wamwambie tu kabisa tabia zake za kitete sio kwa warabu wenye maamuzi ya haraka atauponza .
 
Simba wakiweza kuwa makini na yafuatayo watapata matokeo mazuri leo:-
1. Waachane kabisa na "back pass" zisizo muhimu.
2. Waache kabisa na ile tabia yao ya kulazimisha kuanza mpira kwenye boksi lao wakati wachezaji wa timu pinzani wamekuja kukabia juu.
3. Che Malone a.k.a Maguire aanzie benchi. Huyu jamaa akipewa shinikizo kidogo tu huwa anatoa pasi mkaa karibu na goli. Tangu mashindano haya yameanza ameshatoa goli zaidi ya 2 kwa timu pinzani.

Ni mtizamo tu
 
Namna gani simba ni dhaifu. Mechi ya fainali odds zinapaswa zisipishane sana. Akishinda leo litakuwa jambo la kushangaza na hutokea mara chache sana
Ngoja niwape buku 5 sijui litatoka hela hiyo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Berkane ni wanaume bana!!

Wacha madogo 5imba waogeshwe kwanza

Pamoja sana Berkane πŸ’ͺπŸ’ͺ

Cc Smart911
 
Namna gani simba ni dhaifu. Mechi ya fainali odds zinapaswa zisipishane sana. Akishinda leo litakuwa jambo la kushangaza na hutokea mara chache sana
Hii nimeipenda, Simba ikishinda hakutakuwa na yake makelele kuwa RS Barkane ni timu dhaifu.

Kimsingi RS Barkane ni timu bora kwa sasa hata ndiyo maana imechukua ubingwa wa nchi yao kukiwa bado wana mechi zilizosalia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…