FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

Natamani sana kumuona Crispin Ngushi akipata muda mwingi wa kucheza. Naona kama ana kitu fulani hivi kule mbele.

Hata hivyo siyo mba
ya. Kikosi kinachoanza bado ni kizuri.
Kweli kabisa nazani Leo angecheza winga ya kushoto tungeshinda mapema
 
Kama kawaida tiba mbadala ina endelea
IMG-20220503-WA0004.jpg
 
Natamani sana kumuona Crispin Ngushi akipata muda mwingi wa kucheza. Naona kama ana kitu fulani hivi kule mbele.

Hata hivyo siyo mba
ya. Kikosi kinachoanza bado ni kizuri.
Angekuwa Nabi Leo Angepata Nafasi Lakini Huyu Kaze Sijui Tusubiri Tuone Lakini
 
Back
Top Bottom