FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

Ruvu wamenyimwa goli lao halali kabisa.
IMG_20220504_173414.jpeg
 
Red card na leo kama kule kwa mkubwa mwingine wa mechi ya jana
 
Haka katimu kamekamia mechi! Ukijumlisha na aina ya uwanja, hata tukipata tu sare siyo mbaya.

Mbaya kufungwa.
Sasa kumbe unaona timu imekamia mechi alafu mapema tu unafanya sub ya kuwaingiza wachezaji ambao wanakaliaga benchi na hawana match fitness ili waje wakupe matokeo sasa si ni kubet huku.

Matokeo huna unamtoa feisal si ni kichekesho hiki.
 
Red card
Ruvu wanacheza pungufu
Angekuwa ni mchezaji wa zamani wa Yanga, tayari tungeambiwa GSM katoa bahasha ya kaki.

Ila kwa bahati mbaya ni mchezaji wa zamani wa Mudi FC.
 
Wachezaji wengine wapuuz sana, hii red card si afadhali angemvunja kiuno Mayele
 
Back
Top Bottom