FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

Yaani nini..embu hadidhieni Vizuri. Mtu Kala Umeme halafu hapo hapo aliyepewa Red Card ndo huyo huyo Kanyimwa Goli halali..! Au sijasikia vizuri.. ilikuwaje hapo Mwl Kashasha.
 
Hawa Ruvu Shooting wangekuwa wanacheza mpira kama huu kwenye mechi zote, basi muda huu wangekuwa wako nafasi ya 2!

Ila kwa bahati mbaya ndiyo hivyo tena! Mara nyingi wanacheza mpira mkubwa dhidi ya timu kubwa pekee!
 
Yanga akishinda tofauti ya alama na Simba zitakuwa ngapi?
 
Hata mpira hujui kuangalia!
Ngoja nikufundishe mpira we kilaza,
Aliyefunga goli hakuwa offside
Aliyekuwa offside hakuhusika na mpira unasemaje sio Goli.
IMG_20220504_175216.jpeg
 
Ifike wakati yanga wa mpeleke kaze kwenye timu ya vijana kwanini yeye akisimamia mechi ni lazima yanga kufunga kwetu kupata kwetu matokeo kuwa kwa mbinde saana

Hivi vitu vinaendana Na damu pia usikute kaze ana damu ya kunguni
 
Back
Top Bottom