Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk ya 7
Ruvu 0 Yanga 0
Wazururaji wa CAF wamekimbia uzi
Piga hiizzoooHamna kadi ushindi lazima
Dk 40
Ruvu 0 Yanga 0
Kabisa yaani ngoma haisomeki kabisa ikibidi aingi Djuma Shabani ili timu ipandeKipindi cha pili kocha afanye maamuzi magumu ya kumtoa Saido Ntibazonkiza na Farid Musa, halafu waingie Heritiel Makambo na Crispin Ngushi.
Kule mbele Mayele hapati Cross zilizokwenda shule. Wananchi tunataka magoli.
Kaze Hawazi Hivyo Utaona Mambo Atakayofanya, Naomba Sana Tushinde Lakini Kaze Mi Simuelewi.Kipindi cha pili kocha afanye maamuzi magumu ya kumtoa Saido Ntibazonkiza na Farid Musa, halafu waingie Heritiel Makambo na Crispin Ngushi.
Kule mbele Mayele hapati Cross zilizokwenda shule. Wananchi tunataka magoli.
Bora aingie na Juma Shaban, halafu Kibwana aje kushoto! Yassin Mustafa na Babu Ntibazonkiza, wamepa ujiko asio stahili Abdulahman Mussa kwa dk zote 45 za kipindi cha kwanza.Kabisa yaani ngoma haisomeki kabisa ikibidi aingi Djuma Shabani ili timu ipande
Huyu Ni Kaze TuUnataka kuniambia Nabi hahusiki na kupanga kikosi?
Ndio mtajua mnakamia tu timu fulani ila kupigika mnapigikaBora aingie na Juma Shaban, halafu Kibwana aje kushoto! Yassin Mustafa na Babu Ntibazonkiza, wamepa ujiko asio stahili Abdulahman Mussa kwa dk zote 45 za kipindi cha kwanza.
Hakuna hata shambulizi walilo fanya kupitia upande wa kushoto! Wakiendelea kufumbia haya makosa, halafu hawa wapuuzi wakatuotea nafasi moja tu! Tumekwisha.
bora ungekaa kimyaHadi sasa Utopolo wamedhihirisha kwa nini tunawaita Utopolo. Tunawaazima ubingwa kwa mwaka mmoja.
Why!!"?Hii timu simba walinunua mechi
Kama kawa kama dawaKama kawaida Points tatu ndo muhimu kwetu.
Kila la kheri timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Akafunga mangapi hadi sasaHuyu Mayele anajua mpaka anakera