Kweli kabisa nazani Leo angecheza winga ya kushoto tungeshinda mapemaNatamani sana kumuona Crispin Ngushi akipata muda mwingi wa kucheza. Naona kama ana kitu fulani hivi kule mbele.
Hata hivyo siyo mbaya. Kikosi kinachoanza bado ni kizuri.
Angekuwa Nabi Leo Angepata Nafasi Lakini Huyu Kaze Sijui Tusubiri Tuone LakiniNatamani sana kumuona Crispin Ngushi akipata muda mwingi wa kucheza. Naona kama ana kitu fulani hivi kule mbele.
Hata hivyo siyo mbaya. Kikosi kinachoanza bado ni kizuri.
Hata Mimi Nimeona Hilo MkuuLeo naona kocha anataka kufanya majaribio..
Djuma shabani,mwamnyeto,moloko wameanzia benchi
Unataka kuniambia Nabi hahusiki na kupanga kikosi?Angekuwa Nabi Leo Angepata Nafasi Lakini Huyu Kaze Sijui Tusubiri Tuone Lakini
Kidogo tu wangeliaGooooo..
Offside
PoleKidogo tu wangelia
Wenye kombe lao la robo fainali. 🤣🤣🤣Wazururaji wa CAF wamekimbia uzi
Kilio jangwani leoKama kawaida Points tatu ndo muhimu kwetu.
Kila la kheri timu ya Wananchi.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Hamna hiyo kitu Mtani.Kilio jangwani leo
Nipo hapa hadi mwisho, wenzio wanasubiri hadi mshindeHamna hiyo kitu Mtani.