FT: Ruvu Shooting 0-0 Young Africans | NBC Premier League | Lake Tanganyika Kigoma

Approach ya kikosi ilikosewa tangu mwanzo......kulikuwa hakuna haja ya Mwamnyeto na Shaban Djuma kuanzia nje,hata Moloko pia

Timu ya ushindi haibadiliki hata siku moja
 
Sare ya pili mfululizo kwa Yanga. Game ijayo Yanga itafungwa. Imeshakata pumzi ya moto.
Mnampa cha kuongea Masau Bwire na Penart halali imekataliwa kwa hisani ya Refa
Goli la Chirwa ilikuwaje jana?
 
Vina uhusiano gani? Yanga nao wamenyimwa penati halali
Yaani nini..embu hadidhieni Vizuri. Mtu Kala Umeme halafu hapo hapo aliyepewa Red Card ndo huyo huyo Kanyimwa Goli halali..! Au sijasikia vizuri.. ilikuwaje hapo Mwl Kashasha.
 
Kama nilitegemea matokeo haya maana ile sehemu ya kuchezea uwanja wakigoma haifai halafu ni uwanja mdogo huwezi kumkimbia mpinzani wachezaji wote wanarundikana sehemu moja hakuna ufundi sana. Niliuona uwanja ule wakati wa FA final mwaka jana Simba tulishinda ila mpira haukuchezeka kabida sababu pitch ni mbovu saaana mabonde mabonde.
 
Approach ya kikosi ilikosewa tangu mwanzo......kulikuwa hakuna haja ya Mwamnyeto na Shaban Djuma kuanzia nje,hata Moloko pia

Timu ya ushindi haibadiliki hata siku moja
Ila mwisho wa siku ndiyo hivyo tena. Tujipange kwa mechi ijayo. Naamini itakuwa ni kwa Mkapa, na mwenye timu yake atakuwepo.

Hivyo tutaendelea kutetema kama ilivyo desturi yetu. Hata leo tumegongesha sana miamba! Hata uwanja nao haukuwa rafiki kivile.
 
Twambie kosa lake ni lipi
Kwanza ameanza kukosea kupanga kikosi

Pili rovu shooting walikuwa wana cheza Mpira wa kuzuia saana yaani wote walikuwa wana jazana nyuma saana kwa timu kama hiyo utakiwi kucheza mipira ya juu alifikiri akicheza mipira ya juu wachezaji wa ruvu ni wafupi kiasi icho ?

Alichokuwa Na takiwa kucheza ni kuwapa Game possition yaani kuwapandisha alafu ana fanya mashambulizi ya kustukiza
Au kingine ni ku shoot mipira ya out Na lango kwa kutegemea namba 8 Na 6

Izi ni kama mbinu fulani tu fupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…