Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
We Fuatilia Game Zote Ambazo Kaze Amekaa Peke Yake Kwenye Benchi Kama Kocha Mkuu Ni Mechi Moja Tu Ndo Ameshinda Zilizobaki Zote Katoa Suluhu.Twambie kosa lake ni lipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Fuatilia Game Zote Ambazo Kaze Amekaa Peke Yake Kwenye Benchi Kama Kocha Mkuu Ni Mechi Moja Tu Ndo Ameshinda Zilizobaki Zote Katoa Suluhu.Twambie kosa lake ni lipi
Uchovu wa Simba SC ndo hawa Jamaa wanaonekana wanajua lakini bado wana safari ndefu...!Yanga wa kawaida Sana..
Ghazwat
Scars
Mtoto halali na hela
ukikaidi utapigwa2
OKW BOBAN SUNZU
Kalpana
Shadeeya
Frank Wanjiru
Angeshinda ingekuwa gap la points 15 kwa sasa gap ni points 13Yanga akishinda tofauti ya alama na Simba zitakuwa ngapi?
Kwani hujui ndiyo anaongoza kwa magoli mpaka sasaAkafunga mangapi hadi sasa
🤣🤣🤣Basi tuwape ushindi wa mezani wa 3 - 2! Vipi, umeridhika sasa?
Goli la Chirwa ilikuwaje jana?Sare ya pili mfululizo kwa Yanga. Game ijayo Yanga itafungwa. Imeshakata pumzi ya moto.
Mnampa cha kuongea Masau Bwire na Penart halali imekataliwa kwa hisani ya Refa
Ngoja nikufundishe mpira we kilaza,
Aliyefunga goli hakuwa offside
Aliyekuwa offside hakuhusika na mpira unasemaje sio Goli.View attachment 2211495
Na next game Simba anacheza na nani?😄😄Angeshinda ingekuwa gap la points 15 kwa sasa gap ni points 13
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Barcelona ya bongo imeonyesha udhaifu wenu.Leo Yanga wamezingua kinoma wamecheza chini ya kiwango sana.
Yaani nini..embu hadidhieni Vizuri. Mtu Kala Umeme halafu hapo hapo aliyepewa Red Card ndo huyo huyo Kanyimwa Goli halali..! Au sijasikia vizuri.. ilikuwaje hapo Mwl Kashasha.
Afadhali arudi sababu huyu Kaze hana jipya. 🙁Bora Leo Adhabu Imeisha Nabi Arudi Kwenye Benchi.
Ila mwisho wa siku ndiyo hivyo tena. Tujipange kwa mechi ijayo. Naamini itakuwa ni kwa Mkapa, na mwenye timu yake atakuwepo.Approach ya kikosi ilikosewa tangu mwanzo......kulikuwa hakuna haja ya Mwamnyeto na Shaban Djuma kuanzia nje,hata Moloko pia
Timu ya ushindi haibadiliki hata siku moja
Kwanza ameanza kukosea kupanga kikosiTwambie kosa lake ni lipi