Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Kumekucha tena wakuu, habari zenu wapenda soka.? Ni imani yangu kua mko poa.!
Leo jumatano ya May 04 2022 kuna mtanange mkali mchezo na 168 wa NBC PREMIERE LEAGUE kati ya Ruvu shooting dhidi Yanga sc kutoka mitaa ya karikoo Dar es Salaam.
Huu utakua mchezo wa 22 kwa Yanga SC na wa 21 kwa Ruvu shooting maarufu kama Barcelona ya bongo!
Yanga sc mwenye points 55 akiwa anaongoza league anataka kupata ushindi ili kujiandalia nafasi nzuri zaidi ya kutwaa taji la 28 ambalo amelisotea kwa zaidi ya miaka minne huku Ruvu shooting wao wakiwa na points 21 watapigana wapate ushindi ili wajinusuru na kushuka daraja kwani wapo nafasi ya 14 kati ya timu 16!
Yanga sc waliotoka kupata sare mechi iliyopita dhidi ya watani wao wa jadi Simba Sc watatamani kufunga ili kunogesha mbio za kuwania ubingwa kupitia forward wao hatari FK Mayele mwenye goli 12 na akiwa ndiye kinara wa mabao mpaka sasa, je Leo atatetema mbele ya masawe Bwire? Au atabanwa kama mechi iliyipita.
Basi macho na masikio leo saa 10:00 jioni katika dimba la Lake Tanganyika pale mkoani kigoma. Updates zote utazipata kupitia huu Uzi. Twende pamoja hadi Tamati.
Kikosi cha kwanza leo kwa upande w Yanga SC
DIARRA
KIBWANA
YASSIN
JOB
BANGALA
AUCHO
SUREBOY
FARID
TIBAZONKIZA
FAISAL
MAYELE
____________________________________
UPDATES
____________________________________
04' Ruvu wanafanya shambulizi la hatari wanapata kona inazaa goli lakini ni offside
06' aucho anafanya faulo inapigwa kwenda yanga
10' Yanga wanapata faulo karibu na goli la Ruvu shooting
11' sureboy anapiga shoot ila inaenda nje inakua shot off target
18' mayele anapiga tiktaka ila inakua nyepesi kwa kipa wa Ruvu shooting
19' Ruvu shooting wanapata faulo nzuri sana karibu na lango la Yanga wanapiga ila kipa wa Yanga anaidaka
21' mayele anapiga kichwa kinapoga mwamba
24' Ruvu shooting wanafanya shambulizi la hatari ila kipa anaokoa
39' Yanga wanakosa goli la wazi
40' mayele anapiga post tena
45' Ni mapumziko
.
.
.
.
62' Moloko anaingia kuchukua nafasi ya Farid Mussa
64' Ruvu shooting wanapata kona
70' anaingia kuchukua nafasi ya Kibwana Shomari
81' Rashidi Juma wa Ruvu Shooting anapewa kadi nyekundu, aliumia akalala chini, ilipokuja machela akagoma kupanda, wakati anatoka ilionekana kuna kitu kilitokea kati yake na mwamuzi akampa kadi nyekundu.
90' Zinaongezwa dakika tano za nyongeza
90'+5' Mwamuzi anamaliza mchezo
Full time
Ruvu Shooting 0 Yanga Sc 0