FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Wakuu amani iwe juu yenu.

Naomba kujua mechi ya leo ya wananchi inaoneshwa channel ipi tofauti na azam two?
 
Camera man tafadhali sana usinyanyue camera, unawaumbua
Millard Ayo kapiga picha kwenye yaleajukwaa ambayo mashabiki wa Yanga ndio wamejaa

Hakuna picha ya drone aliyopiga.

Sasa ukiangalia clip za Azam sports ndio utaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…