King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Majukwaa mnayaona lakini yalivyo meupee ? [emoji23]
Nyie mpo uwanja gani ambao mnasema hauna watu? Usikute mnaangalia uwanja wa Mkwakwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majukwaa mnayaona lakini yalivyo meupee ? [emoji23]
Nisha wazoea ni kawaida yaoMkuu huogopi kutukanwa?
Mmeanza kujitoa ufahamu [emoji23]Nyie mpo uwanja gani ambao mnasema hauna watu? Usikute mnaangalia uwanja wa Mkwakwani.
Kile kibegi sio poa, kime wavuruga kinoma yanShughuli imedoda mpaka hata suti mara hii hawana, ndo madhara ya kuwa bize na Kibegi cha Simba SC
Shughuli imedoda mpaka hata suti mara hii hawana, ndo madhara ya kuwa bize na Kibegi cha Simba SC
Mkuu ukimuona Bangala na Mayele unitagNyie mpo uwanja gani ambao mnasema hauna watu? Usikute mnaangalia uwanja wa Mkwakwani.
Duuh apanue?Hebu panuwa tuone walivyokunyoosha.
😆😆😆😆😆Na leo una hamu ya kuzibuliwa mtaro? taarifa zako tunazo, hii ndio JF
Daah..hata wachezaji hawana furahaView attachment 2696219
Hali ya baba wa taifa ni tete. Usidsnganywe na TV. Chukua hii haina mchujo
Mayele, Bangala, Djuma Shabani out.View attachment 2696226
Uto mshindwe kujipigia hawa
Anakutaje tena imekuaje?Wewe Bantu Lady unanitaka?kama unanitaka sema
Kwahiyo hamjapata the right replacement sio ?Mayele, Bangala, Djuma Shabani out.
Hivi mna akili kweli?
Mnahamisha magoli tu