FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Bangala.
JUMA Shaban.
MAYELE out.

Sherehe ya watu wengine wewe inakuhusu nini?

Wenye akili timamu unawaona?
Nina uhakika Mayele yupo Dar na leo ni siku yake rasmi ya Parade la kuagwa kama deal done na Pyramids.

Tusisahau kuna sapraiz leo, na ninawahakikishia Mayele yupo Dar mpaka Jana usiku.
 
Kinacho endelea hapo Taifa muda huu aibu naona mimi [emoji24][emoji24]
 
Kinachoendelea ni aibu ya mwaka..
Tunaomba tusihusishwe na kinachoendelea.
Jirani pale kwenye uwanja wa Taifa kuna tamasha kubwa la kusifu na kuabudu lililoandaliwa na TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD (TAG). Nyomi imeishia pale!! Nani aende kuangalia "wananchi" aache tamasha zuri la kusifu na kuabudu lililokusanya waimbaji lukuki wa nyimbo za Injili?
 
Hii imeenda !! [emoji23][emoji23]
JamiiForums-1722041870.jpg
 
Jirani pale kwenye uwanja wa Taifa kuna tamasha kubwa la kusifu na kuabudu lililoandaliwa na TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD (TAG). Nyomi imeishia pale!! Nani aende kuangalia "wananchi" aache tamasha zuri la kusifu na kuabudu lililokusanya waimbaji lukuki wa nyimbo za Injili?
Jukwaa la dini lipo, huku ukileta mambo ya dini ukijibiwa majibu yanayokustahili usione watu wabaya.

Dini ni NGO tu kama NGO zingine, tamasha la Yanga haliwapunguzii sadaka, kila mmoja ana wateja wake.

Kondoo wenye hofu of unknown watawaletea sadaka tu kwahiyo kuwa Mpole na usichanganye mihemko yako ya dini ukaleta huku.
 
Utambulisho wa wachezaji una fuata kaeni tayari
 
Back
Top Bottom