FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Utopolo wamepaki basi [emoji23][emoji23]
 
Uongo dhambi yanga ya msimu ujao mbovu
Masimba hayaeleweki,yanga ya msimu uliopita uliikubali lini? Nyie ndo mlikuwa mnasema humu Yanga ushindi wa Yanga ni WA bahasha. Leo unatuambia Yanga ya msimu ujao mbovu. Haya tuambie kuhusu Simba ya msimu ijayo itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…