FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Ndo mnavyo danganywa hivyo
emoji23.png

Sasa mkuu utaacha hicho KIBUNDA?
 
Uongo dhambi yanga ya msimu ujao mbovu
Masimba hayaeleweki,yanga ya msimu uliopita uliikubali lini? Nyie ndo mlikuwa mnasema humu Yanga ushindi wa Yanga ni WA bahasha. Leo unatuambia Yanga ya msimu ujao mbovu. Haya tuambie kuhusu Simba ya msimu ijayo itakuwaje?
 
Back
Top Bottom