FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Bado anahitajika clinical finisher
Mtu wa nafasi 3,goal moja
Natumai viongozi wanatafuta
Hao ni binadamu ndugu sio mashine, na ujue mpinzani naye anadhibiti mianya vilevile. Mnadai mno matokeo wakati ni mechi ya kwanza ya kujaribu wachezaji na mbinu. Kuweni na subira.
 
🀭
Nilitaka niseme kitu ila nahofia Mac Alpho akiona nitajitetea nini..!!
Maombi yangu yana wewe Miss Bantu..!!
Nimeekuelewa mrembo wangu Carleen πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaka yuko πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ ila nimemuwahi 🀣🀣🀣🀣 nyie nitaachwa leo hapa πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Hao ni binadamu ndugu sio mashine, na ujue mpinzani naye anadhibiti mianya vilevile. Mnadai mno matokeo wakati ni mechi ya kwanza ya kujaribu wachezaji na mbinu. Kuweni na subira.
Sijadai matokeo mkuu
Hayo ni maoni yangu Kwa kuangalia nafasi iliyoachwa na mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…