FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

List fake hii, usichukue vitu google tu, tumia akili, utachukua fake news utuwekee hapa. Simba hawezi kuwa mbele ya Yanga as from 2023, fuatilia list mpya
Hii ni list rasmi inayotumiwa na CAF kupanga pots za timu zinazotakiwa kuanza raundi ya kwanza badala ya awali, na pia huitumia kupanga pots za timu zilizoingia katika ggroup stage. Kama huamini, itunze tu halafu mwezi ujao tu utaona ratiba ya CAF Clubs itakapotoka
 
Uko sahihi kama ambavyo TP mazembe aliwah kuchukua CAFCL, hii kwa neno moja huitwa historia
 
Doh noma sana.
1690052564670.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimeekuelewa mrembo wangu Carleen 😂😂😂😂😂 kaka yuko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ila nimemuwahi 🤣🤣🤣🤣 nyie nitaachwa leo hapa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
😂😂😂
Usije achwa tafadhali, nguvu niliyonayo hapa ni ya vigelegele tu mama angu..!!
 
List fake hii, usichukue vitu google tu, tumia akili, utachukua fake news utuwekee hapa. Simba hawezi kuwa mbele ya Yanga as from 2023, fuatilia list mpya
Wewe kweli hauko up to date yani mcheze shirikisho mtake kuwa klabu bingwa?
 
List fake hii, usichukue vitu google tu, tumia akili, utachukua fake news utuwekee hapa. Simba hawezi kuwa mbele ya Yanga as from 2023, fuatilia list mpya

Mkuu umeanza lini kufuatilia mpira wa Africa??
 
Tusubiri wiki ijayo simba day tuwaone nao.Yanga sijui watapangaje kikosi..timu mbili.
 
Back
Top Bottom