FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Bado anahitajika clinical finisher
Mtu wa nafasi 3,goal moja
Natumai viongozi wanatafuta
Hao ni binadamu ndugu sio mashine, na ujue mpinzani naye anadhibiti mianya vilevile. Mnadai mno matokeo wakati ni mechi ya kwanza ya kujaribu wachezaji na mbinu. Kuweni na subira.
 
Sijadai matokeo mkuu
Hayo ni maoni yangu Kwa kuangalia nafasi iliyoachwa na mayele
 
Back
Top Bottom