FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Vipi Skudu huko kuna lolote kafanya?

Skudu leo kacheza dakika zote hizo?

Kacheza dakika nyingi kuliko msimu mzima wa 2018-2019 aliocheza dakika 19

Anazidi kuongeza namba
AMa kweli uchawi wa kisasa sio mpaka ushike manyanga na vibuyu. Siku hizi hadi vijana wadogo wachawi. Aseeh hii kitu mnajifunzia wapi?
 
AMa kweli uchawi wa kisasa sio mpaka ushike manyanga na vibuyu. Siku hizi hadi vijana wadogo wachawi. Aseeh hii kitu mnajifunzia wapi?
Shutuma za uchawi zipo Yanga

Leo hamjapitia mlango usio rasmi?
 
Tamasha limekwenda fresh, wale wachawi wote waliokuwa wanaiwangia Yanga chalii na yule aliyegeuza tamasha letu kama mkole wa washirikina moderator wametimiza wajibu wao kwa kumpa haki yake akirudi ajifunze adabu.

mpira siyo uadui.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-07-23-05-31-01-44.png
    26.7 KB · Views: 6
Tamasha limekwenda fresh, wale wachawi wote waliokuwa wanaiwangia Yanga chalii na yule aliyegeuza tamasha letu kama mkole wa washirikina moderator wametimiza wajibu wao kwa kumpa haki yake akirudi ajifunze adabu.

mpira siyo uadui.
Hicho kikaka poa baada ya kukiumbua kikapanic,
Pongezi kwa Moderator kwa kweli,
Mpira bila matusi inawezekana.

Hongera Wana Yanga wooooooooooooote Duniani, jana tulijua kusimamisha Dunia kama kawaida yetu, [emoji172][emoji169],
tusubiri sasa siku ya waganga na washirikina [emoji23]
 
Hamna lolote yanga ni suala la muda tu hamna timu hapo, mtaniambia
Hicho kikaka poa baada ya kukiumbua kikapanic,
Pongezi kwa Moderator kwa kweli,
Mpira bila matusi inawezekana.

Hongera Wana Yanga wooooooooooooote Duniani, jana tulijua kusimamisha Dunia kama kaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…