Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Aug 7, 2023 #501 Mshana Jr said: Jamani mapema yote hii mshamchoka mnasema aondoke,,,!? Wenzenu wamekaa nae miaka 13 huyo ndio mjue wamepotia mengi kuishi nae muda wote huo,,nyie mwezi mmoja tu mshaanza maneno.[emoji23]View attachment 2710571 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kama hujaelewa kitu kidogo kama hiki Sasa Mkataba wa DP si Ndio tumepigwa? Hapo ni Bangala out, Mkude inn. Msianze kumpakazia kijana wa watu, yeye anasambaza boli tu hana mbambambaa.
Mshana Jr said: Jamani mapema yote hii mshamchoka mnasema aondoke,,,!? Wenzenu wamekaa nae miaka 13 huyo ndio mjue wamepotia mengi kuishi nae muda wote huo,,nyie mwezi mmoja tu mshaanza maneno.[emoji23]View attachment 2710571 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kama hujaelewa kitu kidogo kama hiki Sasa Mkataba wa DP si Ndio tumepigwa? Hapo ni Bangala out, Mkude inn. Msianze kumpakazia kijana wa watu, yeye anasambaza boli tu hana mbambambaa.
Kommando muuza madafu JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 3,216 Reaction score 7,254 Aug 7, 2023 #502 Dr Matola PhD said: Kama hujaelewa kitu kidogo kama hiki Sasa Mkataba wa DP si Ndio tumepigwa? Hapo ni Bangala out, Mkude inn. Msianze kumpakazia kijana wa watu, yeye anasambaza boli tu hana mbambambaa. Click to expand... Hahaaaa, huogopi kurogwa maana umempiga za uso mchawi mstaafu.
Dr Matola PhD said: Kama hujaelewa kitu kidogo kama hiki Sasa Mkataba wa DP si Ndio tumepigwa? Hapo ni Bangala out, Mkude inn. Msianze kumpakazia kijana wa watu, yeye anasambaza boli tu hana mbambambaa. Click to expand... Hahaaaa, huogopi kurogwa maana umempiga za uso mchawi mstaafu.