Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama hujaelewa kitu kidogo kama hiki Sasa Mkataba wa DP si Ndio tumepigwa?Jamani mapema yote hii mshamchoka mnasema aondoke,,,!? Wenzenu wamekaa nae miaka 13 huyo ndio mjue wamepotia mengi kuishi nae muda wote huo,,nyie mwezi mmoja tu mshaanza maneno.[emoji23]View attachment 2710571
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni Bangala out, Mkude inn.
Msianze kumpakazia kijana wa watu, yeye anasambaza boli tu hana mbambambaa.