FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Sasa mkuu uongo uko wapi hapo, mbona tunajionea wenyewe uwanja mweupe ?
 
Punguza hasira, utadata. Leo usiku sijui hata kama utalowa kwa makasiriko haya. Hili jukwaa sio la baba yako
 
Ndio maana siwezi kumpangia mtu cha kuandika, kwa mujibu wa kanuni. Sasa wewe unataka kutuletea ufaza. Relax bro,utachizi ukileta ligi na sisi
Siwezi kufanya ligi na mazombie.

Ndio maana zamani wazee ilikuwa pakiwa na sherehe walikuwa wanazindika, sasa ndio nimeelewa maana kumbe wachawi siku hizi mpaka vijana wadogo.
 
Yani kweli uchawi ni kipaji, yani sherehe ya Yanga lakini wanateseka Simba.

Halafu aliwadanganya nani walevi wa pombe wanaingia uwanjani saa hizi? Piteni hapo kwa Chichi na vipub vyote vya nje ya uwanja wa Taifa ni Nyomi watu wanakula kamnyeso na nyama choma.

Target ya wengi ni kuingia uwanjani muda wa kutambulisha wachezaji na kuangalia mechi na ratiba inajurikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…