FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Shughuli imedoda mpaka hata suti mara hii hawana, ndo madhara ya kuwa bize na Kibegi cha Simba SC
 
Shughuli imedoda mpaka hata suti mara hii hawana, ndo madhara ya kuwa bize na Kibegi cha Simba SC
Your browser is not able to display this video.

Hali ya baba wa taifa ni tete. Usidsnganywe na TV. Chukua hii haina mchujo
 
Siku imedoda na Kaizer wana wasubiri nyieee [emoji23]
 
Japo shughuli imedoda lakini kama si Simba SC kuvumbua mambo haya Tanzania leo mngekuwa mnamcheki Mnyama [emoji881][emoji881][emoji881] kwenye TV anatamba kuelekea Simba Day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…