FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Simba inaweza kushinda. Isipokuwa kuna wachezaji wawili wanawakaba wenzao. Yani wamekuwa mzigo kwa wenzao.
 
Mwarabu katepeta lkn wachezaji wa timu ya Simba ni magalasa. Hawawezi kufunga.
 
Mbona wanacheza vizur tu au unaangalia mechi ya Simba ya kibanda maiti?
 
👍 Mkuu.
Ila sidhani
Shida hii simba kikosi cha kufumuliwa hiki beki zimeisha kiwango na viungo wamenoki.
Ila yule muhasibu wetu alinishushua hapa😂😂😂.
Simba hata akija Luis Enrique aliyeipatia trible barcelona 2015 simba kwa kikosi hiki hata kombe la ndondo cup hachukui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…