FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Mashabiki maandazi wa Simba wametumia nguvu nyingi kushabikia mechi ya Yanga na Mamelodi wakasahau Wana mechi ngumu na mabingwa watetezi wenye uzoefu na mechi za Knock out.

Anyway Simba itashinda 2 Kwa sufuri Cairo na kuwatowa Al Ahaly .
 
hujui sheria za mpira
kuangalia ni tofauti na kujua na kutafsiri sheria

kwamba nikwambie chama kakosa faulo iyo ama ama kadi ya inonga ndo uamini naangalia
Sawa Mwanasheria na hongera sana😂
 
Wananchi tukutane kesho, sijui itakuwaje lakini hizi timu zina uwekezaji mkubwa, wachezaji wazuri na uongozi mzuri, Ila mpira una matokeo matatu kwa upande wowote.
 
Team inavyocheza hata haionyeshi hali kama unaitaka match.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…