FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Mashabiki maandazi wa Simba wametumia nguvu nyingi kushabikia mechi ya Yanga na Mamelodi wakasahau Wana mechi ngumu na mabingwa watetezi wenye uzoefu na mechi za Knock out.

Anyway Simba itashinda 2 Kwa sufuri Cairo na kuwatowa Al Ahaly .
 
Wananchi tukutane kesho, sijui itakuwaje lakini hizi timu zina uwekezaji mkubwa, wachezaji wazuri na uongozi mzuri, Ila mpira una matokeo matatu kwa upande wowote.
 
Team inavyocheza hata haionyeshi hali kama unaitaka match.
 
Washapigwa kimoja cha mkwezi 🤣🤣🤣🤣
JamiiForums2142472440.jpg

Wanathiimba wakitoka uwanjani 😂
 
Back
Top Bottom