FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Kwahiyo waarabu wamewaacha mcheze wee ila ushindi wao.
Possession asilimia kubwa na hakuna goli

On target 7 na bado goli hakuna.

Tz sisi sijui tutaweza kitu gani
Na Yanga nao si ajabu mambo yatakuwa hivyohivyo .
Anyways,Mungu wabariki Yanga.
 
Nyie watanzania mnaeza kutaniana tu na kulalamika...mambo vipi Best
 
Kwahiyo waarabu wamewaacha mcheze wee ila ushindi wao.
Possession asilimia kubwa na hakuna goli

On target 7 na bado goli hakuna.

Tz sisi sijui tutaweza kitu gani
Na Yanga nao si ajabu mambo yatakuwa hivyohivyo .
Anyways,Mungu wabariki Yanga.
Timu nyingi za kiarabu zinacheza kimkakati.
Ifuatilie hata belouzdad inakuacha ucheze wewe wao wanasubiri waku surprise.
Itizame Morocco kombe la dunia mpaka anaitoa Ureno ya Ronaldo na Spain ni mchezo huo huo.Mpira cheza wewe goli nifunge mimi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulia kupokezanaa.
 
Timu nyingi za kiarabu zinacheza kimkakati.
Ifuatilie hata belouzdad inakuacha ucheze wewe wao wanasubiri waku surprise.
Itizame Morocco kombe la dunia mpaka anaitoa Ureno ya Ronaldo na Spain ni mchezo huo huo.Mpira cheza wewe goli nifunge mimi.
On target 1 tu na wakapata goli
Simba wamepata zote 7 na goli hakuna 💔
Hatari sana
 
Kona zote 11 hakuna ambayo ilikuwa na maana😂😂😂
 
Na hapo wana wachezaji wao majeruhi, wakifunga full mziki Misri mtapasuka nyingi. Msitegemee kama watacheza kama walivyo cheza Dar.

Haya naona mlikiwa busy na mechi Yanga,mkasahau yenu andaeni uzi wenu wa masandawana,karibuni leo mcheki burudani.
 
Yanga anaweza kujitahidi akadraw
Simba mdomo mwingi,vitendo sifuri ..
Shida lile semaji linabwabwaja mno..vitu unprofessional...
Ujinga mwingi ,mpira asilimia chache unaongelewa.

Simba ingeshinda uongeona kelele za hovyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dada em, mbona masandawana hawataki sherehe, hizo sare kwao mwikoooo.

Hawana muda, wao ni kufanya jambo lao na kusepaa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…