FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Mafarao wamekuja na kila kitu Hadi mapipa,

Wamesahau kuja na uwanja

Hiyo ni Mistake wamefanya,

Maana tukitumia uwanja wa mkapa hatoki MTU.
Kumbuka AFL mlitokaa sare Sasa sijui unamaana gani

Simba uwezo wa kwenda nusu fainali tuachie yang Africa s
 
29 March 2024

KUELEKEA WA-MISRI KUJIAMINI KTK SOKA LA AFRIKA, IKIWEMO MECHI YA LEO

29 March 2024Cairo, Egypt
Wakiwa ktk mabusati na makochi, wanatazama kwa matumaini makubwa historia ya magoli ya Hossam Hassan yapitiwa kuonesha umahiri wa mfungaji magoli na kuombea mambo yawe mazuri ingawa Al Ahly hawana mtu hatari kama Hossam Hassan ila wanategemea zaidi timu ishinde kwani hawana mtu kama Hossan Hassan. Tutizame magoli yake Hossam Hassan

Myth | Hossam Hassan is a great scorer and a special case in the history of Egyptian football 🤩🔥


View: https://m.youtube.com/watch?v=o0kRe7BEPSc
 
Kwa
Kwa hiyo mchukua picha alikuwa karibu na kambi ya jeshi na akafanikisha adhima yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…