Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ushirikina.Kibu hutokaa upate nafasi kama ile mbele ya timu kubwa maisha yako yote!
wale ugali usiokobolewaWachezaji wetu waache kula ugali hupunguza uwezo wa akili.
Mpira au ushabiki wa mpiraAloo mpira ni kazi ngumu sana usiruhusu mwanao afanye kazi hiyo
Unasema kwamba kibu kichwani hazipo au sijakuelewa ?Unategemea mtu kama kibu hanaga akili atafunga kweli? 😆😆😆
Huyu Mse*** Kaniudhi sanaKiukweli nimekuambia kimasihara kwa ajili ya mpira wa simba. Then jitu linapaisha
Leo kazi ngumukibu d anakatwa 😏
Nipo my kelphin nimekumiss sana. Nashuhudia paka anavyokandwa leo 🤭🤭🤭🤭🤭
Kabisa.Ilikuwa offside lakini angefunga tu
Sibet ushindi, nabet magoli tu. Simba nawapa 0.5over tena live bet, tuone inakuwaje.Kubetia simba na yanga na simba unataka kufa🤣
Wewe unaona anazo? Huyo ana Nguvu ila hana akiliUnasema kwamba kibu kichwani hazipo au sijakuelewa ?