SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
peleka huo uwanja ulojaza nusu fainali.Simba Wamelipa na Uwanja Wamejaza.....
Kesho hamtajaza Uwanja Kenge nyie Utopolo... Japo mnaingia bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
peleka huo uwanja ulojaza nusu fainali.Simba Wamelipa na Uwanja Wamejaza.....
Kesho hamtajaza Uwanja Kenge nyie Utopolo... Japo mnaingia bure
Na mkajazwa kimoyaSimba Wamelipa na Uwanja Wamejaza.....
Kesho hamtajaza Uwanja Kenge nyie Utopolo... Japo mnaingia bure
Naunga mkono hojaNasubiri nyuzi za kumtukana Mangungu
Msimu ujao itakuwa shirikishoKwa uwezo wa sasa wa simba ilistahili matokeo haya.
Tujipange kwa msimu ujao
Stats za Uto za dhidi ya Al Ahly ilikuwa ni aibu kwa soka letu...Haya mmeingia nusu fainali ya statistics
Nyingi hizo za wapi umesahau mapipa yaleNi kwamba Tunamchapa Nyingi sana Huko Cairo..
Mlikuwa mnatafuta stats au ushindi? Utazipeleka hizo stats nusu fainali?View attachment 2948635
Stats nzuri sana za Simba mbele ya mabingwa wa Africa... yenye wachezaji 7 wa Timu ya Taifa ya Misri, 2 wa Tunisia, 1 wa South Africa bila kumsahahu Modeste aliyetoka Borussia Dortmund
Wenzako ugenini wanacheza kimkakatiView attachment 2948635
Stats nzuri sana za Simba mbele ya mabingwa wa Africa... yenye wachezaji 7 wa Timu ya Taifa ya Misri, 2 wa Tunisia, 1 wa South Africa bila kumsahahu Modeste aliyetoka Borussia Dortmund
InshallahYes, tumepoteza.....!
Lkn Kwa Margin ndogo......!
Hivyo, bado Zipo Dk 90 nyingine huko
Cairo.......!
Hizi stats ndio zitaipeleka Simba Nusu fainali mkuu?View attachment 2948635
Stats nzuri sana za Simba mbele ya mabingwa wa Africa... yenye wachezaji 7 wa Timu ya Taifa ya Misri, 2 wa Tunisia, 1 wa South Africa bila kumsahahu Modeste aliyetoka Borussia Dortmund
Ulifilia wapi?Inshallah
Stats za Uto za dhidi ya Al Ahly ilikuwa ni aibu kwa soka letu...
CairoAibu kivipi wakati tulitoa sare 1 kwa 1 kwa mkapa.
Aliefungwa kwa mkapa na alietoa sare kwa mkapa nani ametia aibu
wakati huo Al Ahly atarudia kucheza hivi? Akiwa kwake? Akiwa amerejesha majeruhi kikosini? EtiSimba hawakucheza kwa potential yao kamili. Al-Ahly hawakuwa na timu nzuri,m kwani hata bao walilopata lilikuwa la kubabaisha tu. Forward line ya Simba haikuwa katika ubora wowote na ilipoteza nafasi nyingi sana, iwapo Benchika atafanya la maana kuboresha foward line yake, Al-Ahly wananfungika nyumbani kwake. Siyo lazima Saido acheze kwani hakuna uhakika kuwa kutakuwapo na penalty kick ambazo yeye kachanjia.
Ulishawahi kushinda huko? Sio weww ulibamizwa tano huko?Cairo
Tutajua lini mpira sisi jamani.Simba hawakucheza kwa potential yao kamili. Al-Ahly hawakuwa na timu nzuri,m kwani hata bao walilopata lilikuwa la kubabaisha tu. Forward line ya Simba haikuwa katika ubora wowote na ilipoteza nafasi nyingi sana, iwapo Benchika atafanya la maana kuboresha foward line yake, Al-Ahly wananfungika nyumbani kwake. Siyo lazima Saido acheze kwani hakuna uhakika kuwa kutakuwapo na penalty kick ambazo yeye kachanjia.