FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

View attachment 2948635

Stats nzuri sana za Simba mbele ya mabingwa wa Africa... yenye wachezaji 7 wa Timu ya Taifa ya Misri, 2 wa Tunisia, 1 wa South Africa bila kumsahahu Modeste aliyetoka Borussia Dortmund
Mlikuwa mnatafuta stats au ushindi? Utazipeleka hizo stats nusu fainali?
20240329_232611.jpg
 
Simba hawakucheza kwa potential yao kamili. Al-Ahly hawakuwa na timu nzuri,m kwani hata bao walilopata lilikuwa la kubabaisha tu. Forward line ya Simba haikuwa katika ubora wowote na ilipoteza nafasi nyingi sana, iwapo Benchika atafanya la maana kuboresha foward line yake, Al-Ahly wanafungika nyumbani kwake. Siyo lazima Saido acheze kwani hakuna uhakika kuwa kutakuwapo na penalty kick ambazo yeye kachanjia.
 
Simba hawakucheza kwa potential yao kamili. Al-Ahly hawakuwa na timu nzuri,m kwani hata bao walilopata lilikuwa la kubabaisha tu. Forward line ya Simba haikuwa katika ubora wowote na ilipoteza nafasi nyingi sana, iwapo Benchika atafanya la maana kuboresha foward line yake, Al-Ahly wananfungika nyumbani kwake. Siyo lazima Saido acheze kwani hakuna uhakika kuwa kutakuwapo na penalty kick ambazo yeye kachanjia.
wakati huo Al Ahly atarudia kucheza hivi? Akiwa kwake? Akiwa amerejesha majeruhi kikosini? Eti
 
Simba hawakucheza kwa potential yao kamili. Al-Ahly hawakuwa na timu nzuri,m kwani hata bao walilopata lilikuwa la kubabaisha tu. Forward line ya Simba haikuwa katika ubora wowote na ilipoteza nafasi nyingi sana, iwapo Benchika atafanya la maana kuboresha foward line yake, Al-Ahly wananfungika nyumbani kwake. Siyo lazima Saido acheze kwani hakuna uhakika kuwa kutakuwapo na penalty kick ambazo yeye kachanjia.
Tutajua lini mpira sisi jamani.

Sent from my SM-G928I using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom