FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Wewe nitashikiria Bango mpaka YinYang apite na wewe na Mamelodi leo anachinjwa hakuna janja janja moto ni ule ule kijani na njano ngoja mufundishwe jinsi ya kushinda nyumbani sio kushinda na njaa mnaishia kufungwa na wabeba mapipa
Muda utaongea
 
Hatumtaki Mangungu.

#Benchika out#
Kuna watu ubao huu umewauma Jana kuna dada alikua analia na kwikwi sijui aliweka Bond leo anaenda kukipeleka alilia sana

Oooh Sisi hatutaki kumfunga tunataka kumtoa kumtoa? Kaanza kwenu anaenda kuwamaliza kwao alafu mchezo umeishia hapo

Subirini muone pira la Yanga pira tulivu pira kasi pira speed pira magoli pira linalowaacha watu midomo wazi atashonwa mtu na nyuzi 7
 
N


Ndio, uliza Zamalek aliyekuwa Bingwa mtetezi Wakati huo,alifanywa nini Cairo ..

Watu Wana Historia zao Bwana...!

Hakuna Kitu Simba Hajawaifanya....Labda kuleta Kombe tu
Unaongea kama Kibogoyo, Cairo Simba ilifungwa 1 bila ndio timu zikaenda kwenye matuta.

Jibu swali Simba imeshawahi kufunga Mwarabu kwake 90 min?
 
Back
Top Bottom