FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

Naona Utopolo mnachamba kwa staha leo kwa sbb hamjiamini mbele ya masandawana..najua mnajua hamuwezi kwenda nusu fainali abaaaaadaaani...
 
Ingekuwa vema Mama Samia wetu angeahidi kutoa billion 1 kwa timu itakayofanikiwa kuingia nusu fainali.

Sijui mnanielewa!!!
 
Pole kwa mnyama simba kwa kukosa goli nyingi, nafasi za wazi.
 
Acha ufala baba mzima..huna haya
Ho ho ho ho
FB_IMG_1711756511496.jpg
 
Walalamishi wangesema ni njama za kuipa pesa Yanga.
Yanga yuleeeee Nusu Fainali mapemaaaa, nisiseme sikuwaambia wale walio nunua jezi za Ubuntu Botho naona leo watajaa uwanjani mpira ukiisha watalia mara ya Pili Jana wamelia na leo kipigo kingine
 
Back
Top Bottom