FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Kariakoo Derby!

Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo?

Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12.

Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya dhidi ya Simba na hii ni kutokana na Quality ya kikosi cha Yanga lakini haiondoi uhalisia kwamba Simba nao wana kikosi kizuri hasa msimu huu ambao wametamba Kusajili vizuri.

Mechi ni Saa 11:00 Jioni katika dimba la Benjamin Mkapa

Live kupitia Azam Sports 1HD, TBC Taifa kwa idhaa ya Radio.

Soma Pia: Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko

View attachment 3129788View attachment 3129811
Wananchiiiii 💛💚🧡
 
Gamond nilijua tu lazima kikosi chake kiwe kile kile

Ukiacha maingizo mapya ya Dube na Boka, utaona kikosi chake ndio hicho hicho alichocheza Derby zote.

Ngoja tuone leo, ikishindikana kumfunga basi kumbe fact ya kujua mbinu za adui sio sababu ya kufanya umshinde.
Kikosi cha ushindi hakibadiliki we mbumbumbu, tena ambacho kimekukanda mechi 3 mfululizo
 
❤❤❤💪🏿
cb230f34-62e7-4a86-8207-372304461f42.jpeg
 
Gamond nilijua tu lazima kikosi chake kiwe kile kile

Ukiacha maingizo mapya ya Dube na Boka, utaona kikosi chake ndio hicho hicho alichocheza Derby zote.

Ngoja tuone leo, ikishindikana kumfunga basi kumbe fact ya kujua mbinu za adui sio sababu ya kufanya umshinde.
Ulitaka ampange nani nkane au
 
Back
Top Bottom