FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Hamza kama hayupo pengo lake lazima liwepo. Dogo mtulivu halafu ana pasi nzuri kwa viuongo, wingers na hata strikers.

Atakayem replace, hana hizo qualities zote lakini bado sioni wakipoteza kwa Yanga.
Tayari umepata kichaka cha kwanza
 
IMG_3674.jpeg
 
Kariakoo Derby!

Simba Vs Yanga, mchezo wa kukata na shoka. Je, Simba atafuta Uteja wa kufungwa na Yanga mfululizo?

Kwa LigiKuu msimu huu, Simba imecheza michezo 5 ikikusanya alama 13 na Yanga michezo 4 ikikusanya alama 12.

Katika siku hizi za karibuni Yanga imeonekana kupata matokeo Chanya dhidi ya Simba na hii ni kutokana na Quality ya kikosi cha Yanga lakini haiondoi uhalisia kwamba Simba nao wana kikosi kizuri hasa msimu huu ambao wametamba Kusajili vizuri.

Mechi ni Saa 11:00 Jioni katika dimba la Benjamin Mkapa

Live kupitia Azam Sports 1HD, TBC Taifa kwa idhaa ya Radio.

Soma Pia: Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko

View attachment 3129788
chaneli za kiarabu hawaonyeshi tulio nje ya bongo tuone
 
Yanga wameogopa kutoa Kikosi?
 
Back
Top Bottom