FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Kwa mvua hii haiwezekani kucheza
IMG-20241019-WA0003.jpg
 
Kama ni wazi haiwezekani uone wewe mwenyewe.

Usikute boxer ndo unaita chupi.

Kwani kolo mwezio Pdidy amekuja na baby oil?
Mida ya saa 2 hatutaki kusikia haya.
1: GSM kanunua match
2:kocha amezingua
3😛engo la hamza limetucost
4:Refa kaua game.
5:bado simba inajitafuta
6: yanga wameshinda ila bado sana

Yaani kaeni chupi upande tu muone
 
Mida ya saa 2 hatutaki kusikia haya.
1: GSM kanunua match
2:kocha amezingua
3😛engo la hamza limetucost
4:Refa kaua game.
5:bado simba inajitafuta
6: yanga wameshinda ila bado sana

Yaani kaeni chupi upande tu muone
Hamza kama hayupo pengo lake lazima liwepo. Dogo mtulivu halafu ana pasi nzuri kwa viuongo, wingers na hata strikers.

Atakayem replace, hana hizo qualities zote lakini bado sioni wakipoteza kwa Yanga.
 
Back
Top Bottom