FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Kuanzia leo uto ni MBELE MWIKO!! Naomba wachoraji watuchoree picha ya uto akiwa na mwiko mbele!! Haya mapinduzi yataasisiwa na King ATEBA!!
 
Wakikaa vibaya yaani chupi upande hebu Pididi dube wagonge hawa kolo

Yanga 4
Simba 0
 
Naona dalili ya kutokuwepo Diarra, Aucho na Bacca kwenye mchezo wa leo
 
Naona dalili ya kutokuwepo Diarra, Aucho na Bacca kwenye mchezo wa leo
Wasipokuwepo itakuwa wamekula kona!! sitawalaumu maana mnyama mwenye unyama mwingi anatisha!! Uto watakaoenda kwa Mkapa leo watajuta kwa nini walienda!! Yanga yenye MBELE MWIKO inazinduliwa leo!!
 
Huu uzi mbona wa jana (11:59PM) wakati mechi inapigwa leo inayoanzia 12:00AM!! Mods kuna nini?
 
Wasipokuwepo itakuwa wamekula kona!! sitawalaumu maana mnyama mwenye unyama mwingi anatisha!! Uto watakaoenda kwa Mkapa leo watajuta kwa nini walienda!! Yanga yenye MBELE MWIKO inazinduliwa leo!!
Ni kalenda tu ya FIFA itakuwa ndio mkombozi kwenu. Timu inatangulia goli mbili bila halafu zote zinarudishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…