FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Ila vijana wa simba na kocha wa simba wakiendelea hivi naona watafika mbali sana ,timu yetu ni nzuri na ina damu changa na ni wapambanaji kweli kweli .
 
Ila vijana wa simba na kocha wa simba wakiendelea hivi naona watafika mbali sana ,timu yetu ni nzuri na ina damu changa na ni wapambanaji kweli kweli .
Kwa kujifariji tu hamjambo.....
Faraja sijamuona akichangia huu uzi, kajikaushaaa kama sio yeye.... uran 😹
 
Mno hawa wanataka tuanze kulaumu na kutupia lawama wacheziji na kocha ili kitu kizuri tunachotengeneza kipotee😅
Upo jamani....
Leo kanisani vitu havipandiii...
Padri simskii kabisa nawaza tuu ilikuwaje jana..yani kijili sijui alitupiwa jini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…