FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

Max anashangilia na kufikia kutuonesha maneno ya kanga aliyovaa ndani as if lile goli kafunga yeye.

Azam nao mwanzo waliingia kichwa kichwa wakampa credit kwa kile walichokiona kwa Max.
Wewe binti kashabikie rede,ina maana asishangilie goli na asinge piga ule Mpira kuelekea golini mjinga kijili angejifunga?
 
Wewe umeliona hilo goli tu au unajitoa fahamu?
We mwehu nini kwani ww VAR? Kwani pale kuna kosa gani, mpira wa kichwa unacheza kwa mguu, unategemea kocha asiweke faulo ni shobo za kipa wenu,mpira wa kupanchi unataka kudaka.
 
"Ogopa mjinga mwenye confidence "😆😆😆😆😆😅😅😅
 
😂😂
 

Attachments

  • JamiiForums-1764214020.jpeg
    JamiiForums-1764214020.jpeg
    45.4 KB · Views: 1
Mpira ulitoka kabisa nje
 

Attachments

  • FB_IMG_1729354237423.jpg
    FB_IMG_1729354237423.jpg
    20.6 KB · Views: 1
Kayoko katunyima penati ya wazi Camara kamgusa Musonda but ushindi ni mali yetu utopolo, kamoja tu kanauma sana!!
 
Back
Top Bottom