mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Simba tunastahili kuitwa makolo (angalau kwa sasa)!! Makolo kwa lugha ya kinyamwezi ni kondoo!! Kwa maana hiyo simba tumegeuka kuwa kondoo mbele ya Yanga!! Inaniuma sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametufeera kwa tabu sana ndonga tumeingiza wenyewe mndukuni
aiseKila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni 🦁🦁🦁
Tuwakande hao Utopolo 2-1,
Nguvu MojaView attachment 3129235
wameshajuaYaan leo ni mtajua Ateba ni nani?
yametimiaMida ya saa 2 hatutaki kusikia haya.
1: GSM kanunua match
2:kocha amezingua
3😛engo la hamza limetucost
4:Refa kaua game.
5:bado simba inajitafuta
6: yanga wameshinda ila bado sana
Yaani kaeni chupi upande tu muone
yametimiaTabiri zangu 2, Simba tunafungwa 1 bila
Au tunadroo 1-1
All the best my team 🦁
rudia tenaAmphibia leo weupe sana
jibu umepataDakika ya 80 bado Maestro Chama hajaingia???
ulijuaje? sasa umeona hiyo free kick? huyo ndiye maestro CC ChamaHahahahaha muda wa Chama ndio huu
Dakika ya 85
Ndiowameshajua
mtoto mzuri Njoo Yanga achana na kulia kila wakati ukifungwaKila la heri kwa mnyama mkubwa mwituni 🦁🦁🦁
Tuwakande hao Utopolo 2-1,
Nguvu MojaView attachment 3129235
SISI SIMBA HATUNA TIMU YA KUIFUNGA YANGA, WATAJIPIGIA TUSimba tunastahili kuitwa makolo (angalau kwa sasa)!! Makolo kwa lugha ya kinyamwezi ni kondoo!! Kwa maana hiyo simba tumegeuka kuwa kondoo mbele ya Yanga!! Inaniuma sana!!