FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

Kombe limetengenezwa ili Simba aambulie kitu kabatini, ila naona Azam anafanya ukatili sasa anataka kumpokonya akimbie nalo!
 
Mbona Offside ya wazi hii. Marefa wanataka kuzingua nao, Sopu asingekuwa Simba hapa ingekuwa tumekwisha. Hili Kombe Simba tuna historia nalo kama ilivyo Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki.
 
Aiseee...
Tumewakosa tena
 
Simba sasa imeimarika wanacheza tacticalfootbal, inapendeza sana wanaelewana mno. Viungo wanyumbulifu na wenye nguvu, ukiangalia safu ya ulinzi iko vzr sana ikiongozwa na Yeriko che Malone, Forward ndo usiseme ukizubaa wanakukanda(kibu denis).
 
Simba sasa imeimarika wanacheza tacticalfootbal, inapendeza sana wanaelewana mno. Viongo wanyumbulifu na wenye nguvu, ukiangalia safu ya ulinzi iko vzr sana ikiongozwa na Yeriko che Malone, Forward ndo usiseme ukizubaa wanakukanda(kibu denis).
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚ kejeli
 
Tuwe wakweli, Azam leo wamezidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…