OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tukutane Nusu Fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo matokeo yataisaidia nini Uto,maana yanatupeleka group stageFT:Simba 0 vs De Agosto 2
Naunga Mkono hoja..tunao official wa kuanzisha Uzi zetu@Ghazwat na Okwiboban..huyu muanzisha huu Uzi hapana..mara anzishe wa Yanga mara huku..noooMods futa huu uzi wana simba saivi tumelala. Uzi wetu utaanza badae saa sita mchana. Huyu topolokavamia jukwaa. Kuna uzi wa yanga na hilal ameuanzisha saa sita usiku huu
Mkuu Boban..hebu Lete Uzi wetu ..hawa wengine Yanga hawa tunawaachiaje?!!Hayo matokeo yataisaidia nini Uto,maana yanatupeleka group stage
Ghazwat yupo wapi?Uzi wa mnyama unanoga akianzisha mkuu Ghazwat ,enewei #GUvuMoya
Naunga mkono hoja
Ghazwat Scars Greatest Of All TimeMkuu Boban..hebu Lete Uzi wetu ..hawa wengine Yanga hawa tunawaachiaje?!!
Bila kumsahau Boban....hawa wengine hapana..hapana
Wewe dada nakupenda, unaipenda Simba balaah
Kwa akili yako matokeo yakiwa hv ulidhani atapita de AgostoFT:Simba 0 vs De Agosto 2
Daah ungekua JF ni yako kama Melo si ungetutoa si wengine hapa ni member tuu..Naunga Mkono hoja..tunao official wa kuanzisha Uzi zetu@Ghazwat na Okwiboban..huyu muanzisha huu Uzi hapana..mara anzishe wa Yanga mara huku..nooo
Wapi nimesema atapita de Agosto?Kwa akili yako matokeo yakiwa hv ulidhani atapita de Agosto
Kabisa..huwezi kuanzisha live update za timu mbili pinzani kwa wakati mmoja..hii ni zaidi ya kutoa live update ni lazima iende na Mapenzi ya timu.Execute hujafanya poa tutake radhi
Halafu eti anajiita ni Simba wakati ni mtu wa jangwani kwenye kile kighorofa kibayaaa 😂Kabisa..huwezi kuanzisha live update za timu mbili pinzani kwa wakati mmoja..hii ni zaidi ya kutoa live update ni lazima iende na Mapenzi ya timu.
Mkuu hapana..fuatilia Uzi zote za live update za Simba Zina watu wake official siyo kila mtu anaanzisha tu..hebu fuatilia tu.Daah ungekua JF ni yako kama Melo si ungetutoa si wengine hapa ni member tuu..