Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mie nipo VIP A, unaniona?Oya mdau aliyopo VIP B tuonane hapa uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nipo VIP A, unaniona?Oya mdau aliyopo VIP B tuonane hapa uwanjani
Kama huyo moses philip ni mchezaji wa Simba basi kweli hicho kikosi hakiwezi kufika mahali. Bora wamrudishe Moses Phiri waachane na huyo Philips
Nimecheka kinoma ...wabongo htr...Unahangaika kama mbwa mwenye nyege
Maandazi ni wewe mwenyewe na kiherehere chako, huna hata aibu kuanzisha uzi wa lunyasi ili hali u mutu wa kihansiAcheni ushabiki maandazi. Jf ni jukwaa huru.
Picha za uwanjani zikwap mkuu?Ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana na mashabiki hapa Tanzania, kule Angola na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Mnyama mkali anashuka dimbani akiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao matatu kwa moja ugenini.
Anaenda kumaliza ngwe na kuingia hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa wa Afrika.
Tutakuwa hapa tukipeana taarifa mubashara. Mechi itaanza saa kumi kamili Alasiri.
hii imekaa poa sana.SQUAD PREDICTION
Manula
Israh
M.Hussein
Onyango
Henock
Kanoute
Kibu
Mzamiru
Phiri
Chama
Okrah
kikosi cha Putin hiki dadadeki[emoji123]
Mimi shabiki wa Simba mkuu. Mnyama mkali anaingia makundi klabu bingwa Afrika.