FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Simba 1-0 De Agosto (Agg 4-1) | Simba yatinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

WE GO AGAIN LIONNNNNNNN[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Makolo wenzangu tujiandae kisaikolojia naona kipigo kipo
 
Naitakia Simba FC ishinde zaidi ya goal mbili leo
 
d55e66ad41ed4941a5fe976d0777f5b4_311895971_181168697764956_7390132361550556362_n.jpg

be3d34f8c6d443f7af8b12d513f078b6_311866401_689856968741397_6463827009171964667_n.jpg
a2e0951c193d482aa9ed4e461c83b75b_311321851_5421160211285986_4590123990512418665_n.jpg


Dakika chache zijazo kinaanza kindumbwe-ndumbwe kati ya Timu kubwa barani Africa Simba Sc dhidi ya De Agosto ya Angola. Ni round ya Pili Kombe la Mabingwa Africa.

Baki hapa kupata updates zooooote na burudani hii.
 
Back
Top Bottom