Second half Simba wabadilishe mbinu, ikibidi wacheze long balls kina Morrison wapate nafasi za kukimbia, hizi short passes tunazocheza kwa jamaa walio organised kama hawa ni sawa na kujipotezea muda wenyewe, wanajua hatuna madhara hata kama tukikaa na mpira.
Morrison hana mechi nzuri, taddeo yumo lakini hana maajabu bora tucheze na double strikers tu aingie kagere.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Unafanausha uwezo wa USGN na Orlando? Serious?Ata wale wa juzi kipindi cha kwanza walifanikiwa cha pili kidume akapumua vinne fasta
Ile ni fixed matchAta wale wa juzi kipindi cha kwanza walifanikiwa cha pili kidume akapumua vinne fasta
Wana ruka ruka SIO Wana luka luka,Kuna Watu wanaluka luka Benjamin Mkapa
Subiri South Africa ndio utajua kama wanajua kupiga pasi au lah utaduwaaYaani hawa jamaa ata kupiga pass ni matatizo
Aya wacha tusubiri mbona wiki sio mbaliSubiri South Africa ndio utajua kama wanajua kupiga pasi au lah utaduwaa
Unakumbuka Asec walichokifanya kwao?huo ndio ukweli wapinzani wakiwa kwao hutaamini kama wanakujaga Taifa na kupoteza gameAya wacha tusubiri mbona wiki sio mbali