FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Simba 1-0 Orlando Pirates | CAF CC quarter final | Benjamin Mkapa Stadium

Second half Simba wabadilishe mbinu, ikibidi wacheze long balls kina Morrison wapate nafasi za kukimbia, hizi short passes tunazocheza kwa jamaa walio organised kama hawa ni sawa na kujipotezea muda wenyewe, wanajua hatuna madhara hata kama tukikaa na mpira.

Jamaa wanapongezana kwa kutoa suluhu kipindi cha kwanza . Yaani hawa jamaa wanawasubiri kwa madiba tu. Shida nyingine SSC ikienda SA haitoweza kucheza mpira kama huu, away game simba anakuwa anajiandaa kupoteza na inakuwa lose, hivyo mazingira ya kufungwa ni makubwa
 
kwenye knock out stage timu zote hutegemea uwanja wa nyumbani kuwabeba ugenini plan ya kwanza inakuwaga kutoruhusu kufungwa wakiona mpinzani wanammudu ndiyo wanatafuta goli kama sio magoli kwa team kubwa matokeo ya bila bila ugenini yanatija sana kwao
 
mpaka sasa VAR haijatumika na TFF imeingia gharama kufanikisha hili[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom