FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Wanasimba regadless ya matokeo leo, timu yetu kuna kitu inahitaji hope kocha mpya ataona na kuweka mambo sawa.
 
Watanzania sisi ni janja janja mashabiki jukumu la kwanza ni kusapoti timu, hao viongozi walioruhusu fungulia mbwa nao wanazingua maana watu wanakua wanazoea kwamba mchawi kufika taifa.

Jana kuna mdau aliweka uzi kua mashabiki wa bongo sisi tunasaka matokeo , alikua sahihi
 
Sema nini...
Pamoja na kwamba Asec ni Vibonde...

Ila Kibu Anajitahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…