EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
miguu mizitooo Shida tupuuuSimba inacheza utadhani wamevaa rain boots.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miguu mizitooo Shida tupuuuSimba inacheza utadhani wamevaa rain boots.
HawaonyeshiKwenye dstv ni chanel gani inaonyesha wazee
Hamna sasa tatizo שanga mlitaka tufingwe mnachokiona hamuamini nyie Kipindi cha kwanza mmekula 2Si 5imba si asec wanarukaruka tu!
Tiketi za bure leo vepeee....Yeah uwanja umepwaya hata mechi imepoa pia!
dada jana ulikuwa wapi, tumesimangwa na tatu kichwa zetu wenyewe..!!😂😂Aaah! Lolote baya liwakute.
Leo uko Obujekitivu?Kibu katoa pasi Baleke amechelewa
Unajua vizuri kwamba 5G huwa haishiki Mikoani na hata baadhi ya maeneo ila Mzee 3G mpaka vijijini huko ndani ndani inakamata3G inauma sas ile 5G sijui mlikua na hali gani ukizingatia ligi ya ndani
Cheka utanue mapafu rafiki wanasema hawa wanapigika ndo dakika ya 27 hivooo😁😁!Hahahaaa. Nimecheka sana rafiki. Lol.
sio uwanja tu hadi uzi pia ni mdebwedoTiketi za bure leo vepeee....
Dstv mwaka huu katugomeaKwenye dstv ni chanel gani inaonyesha wazee
Simba akipata goli amsha amsha utaiona.Mechi hata haina amsha amsha!
Champions League ilikuwa Jana 🤣🤣🤣Mi nikajua Champions league kumbe Ndondo kapu.