Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast.
Mechi hii itaanza majira ya saa 10 kamili jioni.
Upi mtazamo wako kuhusu mechi hii?
Utawaza sana Ila leo ndo leo Mimosa atapigwa kama ngomsSimba anakoswa koswa sana hapa
Unaumwa wewe simba hata sare hapati kwa mpira huu sioni akipata goliUtawaza sana Ila leo ndo leo Mimosa atapigwa kama ngoms
Mzee natunza hii comment..Unaumwa wewe simba hata sare hapati kwa mpira huu sioni akipata goli
Yeah uwanja umepwaya hata mechi imepoa pia!Aminaaa..
Nilikua nahangaika na Hizi Azam HD 1,2 & 3.
Naona Uwanja umepwaya.
Hahahaaa. Nimecheka sana rafiki. Lol.Mechi hata haina amsha amsha!
Hata mimi nimekosa link ya uhakika, mwenye link atutumieDaaah Wakuu hii Mechi Ndio Nimeshindwa Kuangalia? Hamna Link Nyingine?
3G inauma sas ile 5G sijui mlikua na hali gani ukizingatia ligi ya ndaniMzee natunza hii comment..
Shida ya 3G aka Gongo wazi mna matatizo sana