FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

Kuna kitu kwa Simba kimepotea. Sijajua ni kujiamini au ni nini ila ukiwatazama ni kama timu ambayo haipo sawa. Huenda kocha mpya akabadili hili.
 
Pamoja na kwamba mmefurahia sana sisi kufungwa, wengine mkaenda mbali kwa kututukana matusi ya nguoni ila mimi nawatakia heri kwa moyo mkunjufu kabisa.

Go mtani, peperusha bendera vyema & make us proud.

Tanzania first, Tanzania above all.

Peace
Mkataba msiufute,Dua zenu bakini nazo wenyewe ya Simba haya wahusu.
 
Back
Top Bottom